Saturday, November 23, 2013

Habari

Rais Mugabe awapiga marufuku wageni na wahamiaji kujihusisha na biashara ndogo ndogo nchini mwake

MPEKUZI at DOMO LANGU - 17 minutes ago
Wamiliki wa makampuni ya nje yanayoendesha shughuli katika baadhi ya sekta nchini Zimbabwe kuanzia Januari mosi mwaka 2014 hawataruhusiwa na iwapo watakiuka agizo hilo watakamatwa .Mmoja wa maafisa waandamizi wa serikali ya nchi hiyo amesema. Katibu wa Uwezeshaji Uchumi George Magosvongwe alitoa onyo hilo katika bunge la nchi hiyo, gazeti moja la serikali limesema. Kumilikisha uchumi kwa wanyonge ni moja ya kampeni ya Rais Robert Mugabe katika uchaguzi uliofanyika mwezi Machi. Kilimo, maduka ya kunyoa nywele, biashara za saluni, biashara ya kuuza vitafunio ni miongoni mwa kazi... more »

HON. CHIKAWE’S INTERVENTION AT THE 12TH ASSEMBY OF STATE PARTIES TO THE ROME STATUTE ON SPECIAL SEGMENT REQUESTED BY THE AU ON ICC, THE HAGUE

MUHIDIN MICHUZI at MICHUZI BLOG - 2 hours ago
Hon. Mathias Chikawe (Second from Right) who is heading the Tanzania Delegation seated with Mr. Anselm Mwampoma (Assistant Director from Attorney General Chambers), Hon. Wilson Masilingi (Ambassador of United Republic of Tanzania to the Nethrelands), Ms Tully Mwipopo (First Secretary at the Permanent Mission of the United Republic of Tanzania to the UN) and Mr. Abdallah Mtibora (Second Secretary, Ministry of Foreign Affairs and International Relations) during the discussions of the special segment. *Following the request by the African Union, the Assembly of State Parties to the Rom... more »

SID LAUNCHES STATE OF EAST AFRICA REPORT 2013

MUHIDIN MICHUZI at MICHUZI BLOG - 2 hours ago
*The Speaker of EALA, Rt. Hon Margaret Nantongo Zziwa is calling on the region to seek solutions to the existing inequalities as a pre-cursor to progress and the achievement of the Millennium Development Goals (MDGs).* *Speaking at the launch of the Society for International Development (SID) State of East Africa Report 2013 today, Rt. Hon Zziwa said the EAC needed a stronger social economic fiber.* *“7 out of the 10 persons you see walking out there in the streets are jobless, while another 6 out of 10 live in informal settlements. The largest population, the youth, constitute abo... more »

Waziri wa Mambo ya Ndani wa Tanzania afanya mazungumzo na mwenyeji wake Waziri wa Mambo ya Ndani wa Zambia

MUHIDIN MICHUZI at MICHUZI BLOG - 2 hours ago
*Waziri wa Mambo ya Ndani wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Emmanuel Nchimbi aliwasili nchini Zambia tarehe 22 Novemba 2013 na kuwa na mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Ndani wa Zambia, Dkt. Edgar Lungu siku hiyo hiyo. * *Mazungumzo baina ya Mawaziri Hawa yaljikita katika kuendeleza ushirikiano kwenye maeneo mbalimbali yanayohusu Wizara zao. Aidha wamekubaliana kuagiza mapema iwezekanavyo wataalam wa Wizara zao wakutane kwa majadiliano ya kuweka misingi ya ushirikiano huo.* *Waziri Mambo ya Ndani wa Tanzania, Mhe Dkt. Nchimbi (kushoto) na Mhe. Edgar Lungu (kulia) kwenye Ofisi z... more »

No comments:

Post a Comment