Saturday, November 23, 2013
Test One kuanza jumatatu
Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) kinaanza mitihani yake (Test I) jumaatatu ya tar 25 Nov,2013
Location:Dar es salaam
Dar es Salaam, Tanzania
Habari
Rais Mugabe awapiga marufuku wageni na wahamiaji kujihusisha na biashara ndogo ndogo nchini mwake
Wamiliki wa makampuni ya nje yanayoendesha shughuli katika baadhi ya sekta
nchini Zimbabwe kuanzia Januari mosi mwaka 2014 hawataruhusiwa na iwapo
watakiuka agizo hilo watakamatwa .Mmoja wa maafisa waandamizi wa serikali
ya nchi hiyo amesema.
Katibu wa Uwezeshaji Uchumi George Magosvongwe alitoa onyo hilo katika
bunge la nchi hiyo, gazeti moja la serikali limesema.
Kumilikisha uchumi kwa wanyonge ni moja ya kampeni ya Rais Robert Mugabe
katika uchaguzi uliofanyika mwezi Machi.
Kilimo, maduka ya kunyoa nywele, biashara za saluni, biashara ya kuuza
vitafunio ni miongoni mwa kazi... more »
HON. CHIKAWE’S INTERVENTION AT THE 12TH ASSEMBY OF STATE PARTIES TO THE ROME STATUTE ON SPECIAL SEGMENT REQUESTED BY THE AU ON ICC, THE HAGUE
Hon. Mathias Chikawe (Second from Right) who is heading the Tanzania
Delegation seated with Mr. Anselm Mwampoma (Assistant Director from
Attorney General Chambers), Hon. Wilson Masilingi (Ambassador of United
Republic of Tanzania to the Nethrelands), Ms Tully Mwipopo (First Secretary
at the Permanent Mission of the United Republic of Tanzania to the UN) and
Mr. Abdallah Mtibora (Second Secretary, Ministry of Foreign Affairs and
International Relations) during the discussions of the special segment.
*Following the request by the African Union, the Assembly of State Parties
to the Rom... more »
SID LAUNCHES STATE OF EAST AFRICA REPORT 2013
*The Speaker of EALA, Rt. Hon Margaret Nantongo Zziwa is calling on the
region to seek solutions to the existing inequalities as a pre-cursor to
progress and the achievement of the Millennium Development Goals (MDGs).*
*Speaking at the launch of the Society for International Development (SID)
State of East Africa Report 2013 today, Rt. Hon Zziwa said the EAC needed a
stronger social economic fiber.*
*“7 out of the 10 persons you see walking out there in the streets are
jobless, while another 6 out of 10 live in informal settlements. The
largest population, the youth, constitute abo... more »
Waziri wa Mambo ya Ndani wa Tanzania afanya mazungumzo na mwenyeji wake Waziri wa Mambo ya Ndani wa Zambia
*Waziri wa Mambo ya Ndani wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Emmanuel
Nchimbi aliwasili nchini Zambia tarehe 22 Novemba 2013 na kuwa na
mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Ndani wa Zambia, Dkt. Edgar Lungu siku
hiyo hiyo. *
*Mazungumzo baina ya Mawaziri Hawa yaljikita katika kuendeleza ushirikiano
kwenye maeneo mbalimbali yanayohusu Wizara zao. Aidha wamekubaliana kuagiza
mapema iwezekanavyo wataalam wa Wizara zao wakutane kwa majadiliano ya
kuweka misingi ya ushirikiano huo.*
*Waziri Mambo ya Ndani wa Tanzania, Mhe Dkt. Nchimbi (kushoto) na Mhe.
Edgar Lungu (kulia) kwenye Ofisi z... more »
Subscribe to:
Posts (Atom)