*Bingwa wa dunia wa mbio za marathon, Edna Ngeringwony Kiplagat wa Kenya
(pichani) amejitokeza kushiriki katika mbio zaUhuru Marathon
zinazotarajiwa kufanyika jijini Dar ers Salaam Desemba 8, mwaka huu.*
* Katibu wa Kamati ya Uhuru Marathon, Innocent Melleck alisema,
wamefarijika kwa kiasi kikubwa kwa Edna mwenye sifa lukuki katika mbio za
marathon kujitokeza kushiriki. *
*“Kwetu tumefarijika mno kutokana na ushiriki wa Edna, kwani ni mwanariadha
wa kimataifa mwenye rekodi nyingi za kuvutia na hasa hii ya ubingwa wa
dunia kwa upande wa wanawake,” alisema. *
*Edna,34, alitwaa ubingwa... more »
Balozi seif ali Iddi apokea taarifa ya UVCCM, aunguruma Kitope
*Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM Taifa Mh. Sadifa Juma Khamis akitoa
Taarifa fupi kwenye Mkutano wa kutambulishana baadhi ya wajumbe wa Kamati
ndogo ya kutafuta fedha kwa ajili ya ujenzi wa Jengo Jipya la Ofisi Kuu ya
UVCCM Zanzibar. *
*Mwenyekiti wa Kamati ndogo ya kutafuta fedha kwa ajili ya ujenzi wa Jengo
Jipya la Ofisi Kuu ya UVCCM Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, kulia yake
Makamu Mwenyekiti wa Kamati Hiyo waziri Mkuu Mstaafu wa Mh. Edward Lowasa
pamoja na wajumbe wengine wakiwa katika mkutano wa mwanzo wa Kamati
hiyo.--------------------------------------**Wananchi wa Ma... more »
New Life Band, Kabaganza ndani ya Tamasha la Krismas
* New Life Band ya Arusha*
*Lilian Kabaganza wa Rwanda*
*KUNDI la Muziki wa Injili la New Life Band la jijini Arusha limethibitisha
kushiriki Tamasha la Krismas linalotarajia kuanza Desemba 25 uwanja wa
Taifa jijini Dar es Salaam na mikoa mingine minne hapa nchini. *
*Bendi hiyo ni muendelezo wa waimbaji waliothibitisha kushiriki tamasha
hilo la Kimataifa lenye kauli Mbiu ya kuimalisha amani hapa nchini.Kwa
mujibu wa Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions ambao ni waandaaji wa
tamasha hilo, Alex Msama alisema kuendelea kujitokeza kwa waimbaji hao
kunatokana na kufanyika kwa tarat... more »
KILIMANJARO STARS KUAGWA KWA HAFLA JIJINI DAR KESHO
*Kikosi cha Kilimanjaro Stars kinaagwa kesho (Novemba 25 mwaka huu) tayari
kwa safari ya Nairobi, Kenya kushiriki michuano ya Kombe la Chalenji
inayoanza kutimua vumbi Novemba 27 mwaka huu.*
*Hafla ya kuiaga timu hiyo itafanyika saa 5 asubuhi kambini kwao katika
hoteli ya Accomondia jijini Dar es Salaam. Msafara wa Kilimanjaro Stars
inayodhaminiwa na Kilimanjaro Premium Lager utaongozwa na Ahmed Idd Mgoyi.*
*Wachezaji waliomo katika msafara huo ni makipa Deogratius Munishi (Yanga),
Ivo Mapunda (Gor Mahia, Kenya) na Aishi Manula (Azam). Mabeki ni Erasto
Nyoni (Azam), Himid Mao (Azam... more »
WANAJESHI KUTOKA US ARMY WAR COLLAGE WATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA UN
*Mwishoni wa wiki, Uwakilishi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika
Umoja wa mataifa, ulitembelewa na wanafunzi wanajeshi wanane wanaoshiriki
katika mafunzo ya miezi kumi, kupitia International Fellows Program
yanayotolewa United States Army War war College and Carlisle Barrace. *
*Chuo hicho ambacho kipo nchini Marekani, kila mwaka huanda mafunzo hayo
katika ngazi ya maafisa kutoka mataifa mbalimbali marafiki. *
* Kwa mwaka huu, mafunzo hayo yanawanafunzi 367 kati yao 300 ni wamarekani
na waliobaki 67 wanatoka katika mataifa mbalimbali ikiwamo Tanzania. *
*Wanafunzi hao walifika k... more »
kikwangua anga ilala
*Ankal salaam. Twaishukuru NSSF kutujengea moja ya vikwangua anga vingi
vilivyopangwa kujengwa hapa Ilala, ambacho hadi sasa zimeshafikia ghorofa
zaidi ya 23 na ujenzi unaendelea...*
*Ni wazi kuwa muda si mrefu tutaona "skyline" ya Ilala ikianza kubadilika
kabisa kwani wapo wawekezaji waliokuwa wanasubiri tu kuona nani anaanza
kujenga majengo makubwa makubwa Ilala ili nao wawekeze fedha zao katika
sekta hii inayobadilisha kabisa sura ya jiji la Dar na viunga vyake. Heko
NSSF.*
*Mdau Ilala Boma*
Aibu: Miss Tanzania arekodi mkanda wa ngono na lili wyne wa bongo, Video yavuja ikimuonesha binti huyo akiwa ameharibiwa vibaya
Tumenasa tukio la kustajabisha la msichana mmoja ambae ni mrembo namba moja
wa Mkoa mmoja jina linahidhiwa akiwa amecheza DVD ya ngono na mwanamuziki
chipukizi aliyefahamika kwa jina la Shebo.
Tunaomba radhi wasomaji kwa kuweka picha hizi za wazi mno ili kuonesha
jamii upuuzi mzima unaofanywa na vijana wetu ambao ni nguvu kazi ya taifa.
Katika DVD hiyo, binti huyu anaonekana akimlazimisha mwanamuziki huyo
kumfanya mapenzi kinyume na maumbile kwa sababu eti amezoea kufanywa kwa
madai kuwa kama akifanya mbele peke yake hafurahii tendo hilo
*Kila kitu kipo hapo chini*... more »
NAIBU WAZIRI WA MAJI ARIDHISHWA NA MAENDELEO YA MIRADI SINGIDA
*Naibu Waziri wa Maji, Dk. Binilith Mahenge ameridhishwa na maendeleo ya
utekelezaji wa miradi ya maji mkoani Singida. Dk. Mahenge amesema hayo
akiwa anaendelea na ziara yake ya kikazi mkoani Singida kukagua miradi ya
maji katika Halmashauri za Wilaya ya mkoa huo.*
*“Nimetembelea mikoa karibu yote nchini kukagua miradi ya maji, lakini ni
Singida pekee ambako karibu miradi yake yote imetekelezwa kwa asilimia
kubwa, ikiwemo mitatu iliyokamilika na mingine ipo katika hatua nzuri
kiutekelezaji”, alisema Dk. Mahenge.*
*“Nawapongeza sana watendaji Singida kwa kazi nzuri na nawashauri
was... more »
MISS ILALA 2013 DORICE MOLLEL HANDS OVER 132 STORY BOOKS WORTH 200,000 TO UKONGA PRIMARY SCHOOL
[image: download(3)]
*Mkuki wa Nyota Editor Godance Mkuki(right) hands over 132 story books to
Miss Ilala 2013 Doris Mollel at the Ukonga primary school premises in Dar
es Salaam during the climax celebration of the International Children’s
day.*
*In an efforts to promote a reading culture in the country Mkuki wa Nyota
publishers recent during the international children day decided to give 132
story books worth 200,000 to Miss Ilala 2013 Doris Mollel who hands over to
Ukonga Primary school.*
*[image: download(4)]* [image: download(13)]
*Miss Ilala 2013 Doris Mollel finally hands over ... more »
Malawi yaichokoza Tanzania tena....Rais wao ametangaza kuwa mkoa wa Ruvuma na wananchi wake ni mali ya Malawi
RAIS wa Malawi, Joyce Banda ametajwa kuendeleza chokochoko baina ya nchi
yake na Tanzania, *huku sasa akidaiwa kutumia redio na runinga za nchini
mwake kutangaza kuwa mkoa wa Ruvuma, viongozi na wananchi wa ukanda wa Ziwa
Nyasa ni mali yake.*
Aidha, amesitisha safari za meli ya mv Ilala iliyokuwa ikifanya safari
kwenye Ziwa Nyasa kusafirisha mazao na wananchi wa ukanda huo upande wa
Tanzania.
Akizungumza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa soka wa
Mbambabay jana, Mbunge wa Mbinga Magharibi, John Komba, alisema Rais Banda
ambaye aliibua upya mzozo wa mpaka b... more »
Sekretarieti kuu ya CCM yawasili jijini Mbeya ikiwa na kauli mbiu ya "UMOJA NI USHINDI"
Sekretarieti kuu ya CCM,ikiongozwa na Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana
(pichani kati),Katibu wa NEC,Siasa na Mahusiano ya Kimataifa,Dkt Asharose
Migiro (kulia) pamoja na Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye
wakiwapungia wakazi mbalimbali waliofika kuwalaki mapema leo walipokuwa
wakiwasili kwenye Bandari mpya ya Kiwila Wilayani Kyela Mkoani Mbeya, kwa
ziara ya kikazi,wakitokea wilayani Nyasa Mkoani Ruvuma kwa meli.
Pichani shoto ni Nahodha Mkuu wa Meli ya Mv Songea akitoa maelezo mafupi
namna ya moja ya chombo cha meli kinavyofanya wakati ikisafiri majini, kwa
Sekretarieti k... more »
Programming notes are available here
ReplyDelete